Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- , Ismail Fikri, ambaye alikuwa akifanya ujasusi kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni, alinyongwa baada ya kupitia mchakato mzima wa makosa ya jinai na kuthibitisha na kukamilisha hukumu hiyo katika Mahakama ya Juu.
Alikubali kuwa kibaraka na jasusi wa Mossad kwa malipo ya vipande vya karatasi za Dola ili aliuze na kuliumiza Taifa, na leo hii amepata haki yake ya kikatiba anayoistahili. Na huu ndio mwisho wa watu waovu ulivyo.
Your Comment